Posted on: October 9th, 2024
Wataalam wa idara ya afya Manispaa ya Ilemela wameshauriwa kuwafikia wananchi kwa ajili ya kuwapa elimu ya umuhimu wa bima ya afya ili waweze kuepukana na gharama kubwa wakati wa matibabu.
Rai hiyo...
Posted on: October 8th, 2024
Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza wametakiwa kuzingatia mpango kabambe (master plan) wa matumizi ya ardhi ili kuepuka ujenzi holela na kushusha thamani ya ardhi wanazo...
Posted on: October 4th, 2024
Wasanii wa Ilemela wamesisitizwa kuandaa kazi zenye kuzingatia maadili, uzalendo, uelimishaji na ukosoaji kwa jamii katika kazi zao za sanaa wanazozifanya.
Rai hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la ...