Posted on: June 28th, 2024
Waganga wa tiba asili na mbadala ndani ya Manispaa ya Ilemela wametakiwa kuwalinda watu wenye ulemavu wa ngozi na kuwafichua matapeli na waovu wanaojifanya waganga wa kienyeji na kusababisha mau...
Posted on: June 26th, 2024
Katika kipindi cha miaka mitano mfululizo halmashauri ya manispaa ya Ilemela imeendelea kupata hati safi (unqualified opinion), hayo yamesemwa na ndugu Athuman Mustapha mkaguzi mkuu wa nje alipowasili...
Posted on: June 22nd, 2024
“ Usafi ni afya na afya ni usafi .”
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Bi.Ummy Wayayu alipokuwa akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Sabasaba lililopo ...