Posted on: January 24th, 2019
Mbunge wa jimbo la Ilemela, Mhe Dkt Angeline Mabula, leo tarehe 24.01.2019 amekabidhi jumla ya mifuko ya saruji 700 na mifuko 1200 ya chokaa kwa uongozi wa Manispaa ya Ilemela.
...
Posted on: January 16th, 2019
Katika mwaka wa fedha 2019/20 Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela inakadiria kukusanya jumla ya Tsh.8,878,387,000. 00 kutoka vyanzo vya ndani. Sababu zilizopelekea kufikia makisio haya ni pamoja na...
Posted on: January 8th, 2019
Ukarabati wa kituo cha afya Buzuruga unatarajiwa kukamilika ifikapo mwisho wa mwezi wa kwanza 2019 hii ni kwa mujibu wa mhandisi wa ujenzi Mhandisi Maloba ambapo amesema kuwa hadi sasa ukarabati umefi...