Posted on: October 18th, 2021
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, Mhandisi Modest Apolinary amewataka watendaji katika kata ya Nyamanoro kuhakikisha wanatumia fedha za ujenzi wa madarasa mapya kwa malengo yaliyokusudiwa.
Ameyase...
Posted on: October 12th, 2021
Mhe Hasan Masala, Mkuu wa Wilaya ya Ilemela amesisitiza suala la uadilifu katika mradi wa ujenzi wa kituo cha afya cha Kayenze. Hayo ameyasema wakati wa kuchimba msingi wa kituo hicho ikiwa ni ishara ...
Posted on: October 7th, 2021
Halmashauri ya manispaa ya Ilemela imeendelea kuungana na wadau mbalimbali kutekeleza mpango wa wizara ya elimu wa elimu ya watu wazima Mpango wa uwiano kati ya elimu ya watu wazima na jamii (MUKEJA) ...