Posted on: February 3rd, 2021
Kamati ya siasa ya Wilaya ya Ilemela imeipongeza Manispaa ya Ilemela kwa utekelezaji na usimamizi mzuri wa miradi mbalimbali ya maendeleo na kuiagiza kukamilika miradi hiyo kwa wakati uliokusudiwa.
...
Posted on: January 26th, 2021
Mkuu wa wilaya ya Ilemela Mhe Dkt Mathias Severine Lalika amehimiza uwazi, uadilifu na ushirikishwaji wa wananchi katika matumizi ya fedha za ujenzi wa madarasa ya shule za sekondari zilizopo ndani ya...
Posted on: January 23rd, 2021
John Wanga, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela ameitaka Idara ya elimu kuhakikisha vifaa vya watoto wenye mahitaji maalum vinawafikia wahusika waliokusudiwa pamoja na kutoa miongozo ya namna ya k...