Posted on: January 16th, 2019
Katika mwaka wa fedha 2019/20 Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela inakadiria kukusanya jumla ya Tsh.8,878,387,000. 00 kutoka vyanzo vya ndani. Sababu zilizopelekea kufikia makisio haya ni pamoja na...
Posted on: January 8th, 2019
Ukarabati wa kituo cha afya Buzuruga unatarajiwa kukamilika ifikapo mwisho wa mwezi wa kwanza 2019 hii ni kwa mujibu wa mhandisi wa ujenzi Mhandisi Maloba ambapo amesema kuwa hadi sasa ukarabati umefi...
Posted on: December 25th, 2018
Mbunge wa jimbo la Ilemela Mheshimiwa Daktari Angeline Mabula ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha afya Lumala kilichopo kata ya Ilemela na kilichogharimu takriban zaidi ya shilingi 40,490,00...