Posted on: July 3rd, 2024
Watumishi wa Manispaa ya Ilemela wameshauriwa kujipenda kwa kuhakikisha wanapima Afya zao mara kwa mara.
Hayo yamesemwa na Afisa lishe wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Bi.Pili Khasim wakati wa...
Posted on: June 28th, 2024
Takribani watoto 66396 wamefikiwa na watoa huduma za afya katika kampeni ya kitaifa ya mwezi wa afya na lishe ya mtoto ikiwa ni sawa na asilimia 100.2 ya lengo lililokuwa limewekwa la kufikia watoto &...
Posted on: June 28th, 2024
Mwenyekiti wa kamati ya kupinga ukatili wa wanawake na watoto (MTAKUWWA) wa Manispaa ya Ilemela ndugu Leonard Masale ameitaka jamii ya Ilemela kuungana kupinga ukatili wa namna yoyote ndani ya jamii.
...