Posted on: January 18th, 2023
Jumla ya vikundi 37 vinavyonufaika na mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri ya manispaa ya Ilemela inayojumuisha asilimia 4 kwa ajili ya wanawake,asilimia 4 kwa vijana na asilimia 2 ...
Posted on: January 17th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Ilemela Mhe Hasan Elias Masala amekataza michango ya aina yeyote itakayosababisha wanafunzi wa kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2023 washindwe kuripoti shuleni.
Agiz...
Posted on: December 22nd, 2022
Mhe Adam Malima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ameipongeza Manispaa ya Ilemela kwa ukamilishaji wa vyumba 110 vya madarasa vikiwa na seti 5500 za meza na viti kwa gharama ya kiasi cha Shilingi bilioni mbili n...