Posted on: May 30th, 2018
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza inatarajia kutekeleza mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami.
Barabara ambazo zitajengwa ni tatu zenye jumla ya urefu wa kilomita 12...
Posted on: May 8th, 2018
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela inatarajia kuongeza ukusanyaji wa mapato yake ya ndani mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa mzani wa Mwaloni Kirumba.
Pamoja na kuongeza ukusanyaji wa mapat...
Posted on: April 25th, 2018
Zaidi ya wasichana wasiopungua 2898 katika Manispaa ya Ilemela wanatarajia kunufaika na chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi ambayo inaendelea kutolewa katika maadhimisho ya wiki ya chanjo...