Posted on: July 28th, 2022
Wanamichezo ambao ni wanafunzi kutoka shule za sekondari Ilemela waliochaguliwa kuunda timu ya UMISETTA ngazi ya wilaya wametakiwa kuhakikisha wanakuwa na nidhamu pamoja na kusikiliza maelekezo ya vio...
Posted on: July 26th, 2022
“Kama unaona elimu ni gharama basi jaribu ujinga”, ni maneno ambayo ameyanukuu Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Mhe Hasan Masala wakati akikabidhi madawati kwa shule za msingi za Ilemela.
“Sisi tumeo...
Posted on: July 7th, 2022
Na Paschalia George- Ilemela
Jamii ya Ilemela imeaswa kuacha kuwaficha watoto wenye ulemavu kwa kuzingatia haki ya wao kupata elimu na huduma za msingi sambamba na kuchangamana na wenzao i...