Posted on: October 2nd, 2023
Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mhe Dkt Angeline Mabula amewapongeza wananchi wa mtaa wa Zenze kata ya Kiseke kwa kuchangia na kuanza ujenzi wa barabara ya Km 2 inayotoka maungio ya barabara ya Lami ya...
Posted on: September 24th, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela chini ya Mstahiki Meya Mhe. Renatus Mulunga, na Mkurugenzi Adv. Kiomoni Kibamba wamesaini mkataba wa ujenzi wa Barabara yenye urefu wa Kilomita 12.8 ambayo itajengwa...
Posted on: September 19th, 2023
Tarehe 18 Septemba 2023, Mhe. CPA Amos Makalla , Mkuu wa Mkoa wa Mwanza alizindua rasmi utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi (Ongea Live na Mkuu wa Mkoa) uzinduzi huo uliwajumuisha Wakuu wa Taasis...