Posted on: July 16th, 2024
Kufuatia baraza la mitihani nchini kutangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita kwa mwaka 2024, divisheni ya elimu sekondari ya Manispaa ya Ilemela imefanya tathmini ya matokeo hayo.
...
Posted on: July 15th, 2024
Mhe Said Mtanda mkuu wa mkoa wa Mwanza, ametoa rai kwa wazazi na walezi kuhakikisha wanashirikiana na walimu katika malezi ya wanafunzi kwani wanafunzi hutumia muda mwingi wakiwa shuleni kuliko ny...
Posted on: July 12th, 2024
Kiasi cha shilingi Bilioni 1.39 kimetumika kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya elimu sekondari katika Manispaa ya Ilemela ikiwemo vyumba 59 vya madarasa, matundu 72 ya vyoo na seti ya meza na viti 27...