Posted on: July 28th, 2023
Mbunge wa jimbo la Ilemela,na Waziri wa Ardhi Nyumba na maendeleo ya Makazi Mhe Dkt. Angeline Mabula amewahimiza wananchi wa Ilemela kuhakikisha wanaendelea kushirikiana na serikali katika kuyafikia m...
Posted on: July 27th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Mhe Hassan Masala amekabidhiwa msaada wa zaidi ya shilingi milioni 16 kutoka bank ya NMB .
Msaada huo umejumuisha madawati 100 ambayo yamegharimu fedha kiasi cha...
Posted on: July 26th, 2023
Kamati ya fedha na Uongozi ikiongozwa na Naibu Meya Mhe.Manusura Lusigaliye imefanya ziara ukaguzi wa miradi ya maendeleo robo ya nne lengo ikiwa ni kukagua utekelezaji wa miradi ambayo inatekel...