Posted on: March 5th, 2025
Kaimu Mkurugenzi wa hospitali ya rufaa ya Bugando Dkt. Cosmas Mbulwa ametoa elimu kwa wanawake wa Ilemela waliojitokeza kutembelea wodi ya kansa na kutoa msaada wa mahitaji ikiwa ni miongoni mwa...
Posted on: March 4th, 2025
Kuelekea siku ya wanawake duniani Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kupitia idara ya maendeleo ya jamii imeunganisha makundi mbalimbali ya wanawake wa Ilemela ikiwemo wadau kutoka mashiri...
Posted on: March 1st, 2025
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Bi.Ummy Wayayu amekabidhi vyeti vya pongezi kwa watoto wa halaiki walioshiriki zoezi la mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2024 katika wilaya ya Ilemela ikiwa ni ishara ya...