• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

"TUUFANYE USAFI KUWA NI TABIA YA KUDUMUA": ANNA MBAO

Posted on: May 31st, 2025

Kuelekea maadhimisho ya siku ya mazingira duniani ambayo huadhimishwa Tarehe 05 Juni kila mwaka, rai imetolewa kwa wananchi wa Ilemela kufanya usafi kuwa ni tabia ya kila siku na sio kusubiria maagizo ya serikali.

 

Rai hiyo imetolewa na Bi Anna Mbao akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mhe Hassan Masala wakati wa kampeni ya usafi kila Jumamosi ya Mwisho wa mwezi iliyofanyika Soko la kiloleli kata ya Ibungilo mapema  hii leo tarehe 31 Mei 2025

 

"Usafi ni tabia, tufanye usafi kuwa ni tabia ya kila siku na sio hadi tusubiri maelekezo ya serikali, kila mtu ajijengee tabia ya kufanya usafi"amesema Bi Anna

 

Bi Anna akiongea na wananchi wa Ilemela kupitia wafanyabiashara wa soko la Kiloleli ameendelea kuwasisitiza juu kudhibiti matumizi ya bidhaa za plastiki kwa ajili utunzaji wa mazingira na viumbe hai wanaoishi kwenye vyanzo vya maji huku akiwashukuru kwa kujitokeza kwao katika zoezi hili la usafi.

 

Nae Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Bi. Ummy Wayayu amesisitiza juu ya utunzaji wa mazingira katika jamii hususan katika maeneo ya biashara za chakula ili kuepukana na magonjwa ya mlipuko yanayotokana na uchafuzi wa mazingira.

 

“Sambamba na zoezi hili la usafi wa leo niendelee kuwaahidi kuwa tutaendelea kuboresha miundombinu ya soko hili kama tulivyoanza kuboresha eneo la kuuzia ndizi  ili muendelee kufanya biashara kwa amani huku tukiinua uchumi wa nchi yetu” Alisema Bi Ummy

 

Kwa niaba ya wafanyabiashara wa soko la Kiloleli, Ndugu  Hakim Katabazi ambae ni  Makamu mwenyekiti wa soko wamemshukuru Mkurugenzi wa Ilemela kwa kuanza kutekeleza ahadi ya ujenzi wa eneo maalum la kuuzia ndizi  huku wakiomba uboreshaji zaidi wa soko ili liwe na hadhi ya kitaifa sambamba na kuushukuru uongozi wa wilaya Ilemela kwa kujumuika na wafanyabiashara wa soko hilo katika zoezi la usafi wa mwisho wa mwezi, na kusema kuwa usafi  ni jadi yao.

Kauli mbiu ya siku ya mazingira dunianni ambayo kitaifa itaadhimishwa mkoani Dodoma siku ya tarehe 5 Juni, inasema;"Mazingira yetu na Tanzania ijayo,tuwajibike saa;Dhibiti matumizi ya Plastiki.

 

 

 

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • "TUUFANYE USAFI KUWA NI TABIA YA KUDUMUA": ANNA MBAO

    May 31, 2025
  • WATAALAM WA MANISPAA YA ILEMELA WAJENGEWA UWEZO MATUMIZI YA MFUMO WA MANUNUZI WA UMMA

    May 29, 2025
  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.