Posted on: March 18th, 2025
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la SOS children’s village linaendelea na utoaji wa mafunzo kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii wanaojitolea ,maafisa...
Posted on: March 17th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe.Said Mtanda leo Machi 17,2025 amewatembelea wafanyabiashara wa mbao eneo la Sabasaba wilayani Ilemela waliopatwa na ajali ya moto na kuwapa pole na kuwaomba kuwa na utulivu ...
Posted on: March 15th, 2025
Kufuatia wizara ya afya kutangaza kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya MPOX mnamo tarehe 09 Machi 2025, kamati ya afya ya msingi ya wilaya ya Ilemela imekutana kujadili juu ya namna ya kuchu...