Akifungua mafunzo hayo kwa niaba ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, Ndg Egidy Teulas ambae ni mkuu wa divisheni ya utawala na rasilimali watu amewataka wataalaam hao kuhakikisha wanazingatia mafunzo hayo ili kuweza kuwa na bajeti bora.
Mafunzo haya yametolewa na wakufunzi Deo Mchwampaka na Hellen Mcharo kutoka divisheni ya mipango na uratibu ya manispaa ya Ilemela yakisimamiwa na mkuu wa divisheni hiyo, ambapo pamoja na mambo mengine wametoa mafunzo juu ya uingizaji wa mipango na bajeti kwenye mfumo unaohusika na uandaaji wa bajeti (PLANREP)
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
Postal Address: 735 MWANZA
Telephone: + 255 736 200910
Mobile:
Email: md@ilemelamc.go.tz
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.