Kitengo cha sheria kina majukumu yafuatayo katika Halmashauri.
Miongoni mwa majukumu ni:-
- Kumshauri Mkurugenzi juu ya maswala yote yahusuyo sheria katika Halmashauri
- Kushauri Idara nyingine zote zilizopo katika Halmashauri juu ya maswala yote yanayo husu sheria
- Kutunga na kuandaa sheria ndogo za Halmashauri kwa ajili ya kuwezeaha uendeshaji wa shughuli za kila siku za Halmashauri
- Kusimamia na kuiwakilisha Halmashauri katika mashauri yote ambayo Halmashauri inahusika
- Kupitia mikataba yote ambayo inahusu Halmashauri
- Kuunda na kusimamia mabaraza yote ya Kata yaliyopo ndani ya Halmashauri
- Kutoa msaada wa kisheria kwa jamii yote iliyopo ndani ya Halmashauri
- Kusimamia swala zima la ulinzi wa mali za Halmashauri
- Kusimamia na kufuatilia wadaiwa wote wa Halmashauri
- Kumshauri mkurugenzi juu ya mbinu borw za ukusanyaji wa mapato na uanzishwaji wa vyanzo vipya vya mapato kwa ustawi wa Halmashauti
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
Postal Address: 735 MWANZA
Telephone: + 255 736 200910
Mobile:
Email: md@ilemelamc.go.tz
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.