Kitengo cha Manunuzi na Ugavi ambacho kimeundwa kwa mujibu wa sheria ya Manunuzi Namba 07 ya Mwaka 2011 Kifungu 37 ambapo sheria hiyo inaitaka Taasisi ya Serikali iwe na Kitengo cha Ugavi (Procurement Management Unit).
Kitengo cha Ugavi kinatakiwa kiwe na Mkuu wa Kitengo mwenye elimu aliyo somea ujuzi huo na sifa, uzoefu katika kazi za manunuzi na pia awe amesajiliwa na Bodi ya manunuzi (Professional Body) kama Sheria ya Manunuzi ya mwaka 2011 kifungu Na 37(3) kinavyoeleza.
Kwa mujibu wa sheria, Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi na Ugavi ataripoti moja kwa moja kwa Afisa Masuuli (Mkurugenzi) wa taasisi husika.
Afisa Masuuli wa taasisi atahakikisha kwamba Kitengo cha Manunuzi na Ugavi (PMU) kinatengewa fedha kwenye bajeti ili kiweze kutimiza majukumu yake.
Majukumu ya Kitengo cha Manunuzi na Ugavi yametajwa katika Sheria ya Manunuzi ya Umma namba 7 ya Mwaka 2011 Kifungu cha 38 (a-q).kama ifuatavyo:
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
Postal Address: 735 MWANZA
Telephone: + 255 736 200910
Mobile:
Email: md@ilemelamc.go.tz
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.