Posted on: June 1st, 2022
Fedha kiasi cha Tshs. Mil 154 zimepatikana katika chakula cha hisani kilichoandaliwa kwa lengo la kukusanya fedha kwa ajili kukabiliana na changamoto ya madawati katika shule za msingi za Ilemela.
...
Posted on: May 6th, 2022
Wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kwa jina la machinga wametakiwa kuwapuuza wanasiasa wanaowashawishi kutoka katika maeneo rasmi yaliyotengwa na Serikali kwaajili ya kufanyia biashara zao.
R...
Posted on: May 2nd, 2022
Kiasi cha shilingi milioni sitini na laki tatu na elfu tisini na sita kutoka katika fedha za mfuko wa jimbo zimetumika kwaajili ya kuchochea shughuli mbalimbali za maendeleo ndani ya jimbo la Ilemela ...