Posted on: July 18th, 2023
Mhe.CPA Amos Makala, Mkuu wa mkoa wa Mwanza amefika stendi ya mabasi ya Nyamhongolo kwa ajili ya kukagua na kisha kuongea na viongozi wa TABOA pamoja na wadau mbalimbali wa stendi.
A...
Posted on: July 14th, 2023
Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 ukiongozwa na Ndugu Abdalla Shaib Kaim umeridhishwa na utekelezaji wa miradi yote ambayo imepitiwa na Mwenge wa Uhuru yenye thamani ya fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 1.35
...
Posted on: July 5th, 2023
" Kukamilika kwa miradi hii ya afya sio kwa ajili ya watu flani,ni kwa manufaa ya wote.Watakaotibiwa hapa ni watanzania wote, maendeleo hayana chama wote tuwe kitu kimoja kuhakikisha miradi hii inakam...