Posted on: August 3rd, 2025
Wito umetolewa kwa wananchi wote kutembelea banda la manispaa ya Ilemela katika viwanja vya Nyamhongolo ambapo maonesho ya nanenane 2025 yanaendelea kwa ajili ya kujifunza masuala mbalimbali, lakini p...
Posted on: July 30th, 2025
Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ndugu Elikana Balandya amewataka wanafunzi kudumisha nidhamu kwani itawafanya kufika mbali.
Ndugu Balandya ameyasema hayo katika shule ya sekondari ya Buswelu ...
Posted on: July 28th, 2025
Wataalam mbalimbali kutoka idara za afyana elimu wametakiwa kutumia mfumo mpya katika vituo vya kutolea huduma na kuachana na ule wa zamani kwa maana ya njia ya cheki ili kuweza kuendana na teknolojia...