Posted on: June 1st, 2023
Watumishi wametakiwa kuwa na nidhamu katika kufanya kazi pamoja na kuhakikisha wanatoa huduma bora ili kuepusha chuki kati ya wananchi na Serikali yao itakayosabababishwa na utendaji kazi mbovu
...
Posted on: May 18th, 2023
Mikataba mitano (5) yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.49 imesainiwa leo na Manispaa ya Ilemela kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Mhandisi Modest Joseph Apolinary, Mkurugenzi wa...
Posted on: May 17th, 2023
Serikali mkoani Mwanza itaendelea kuchukua hatua kali za kisheria kwa wale wote wanaojihusisha na mmomonyoko wa maadili .
Hayo yamebainishwa na Ndugu Joachim Otaru kutoka ofisi ya mkuu wa ...