Posted on: July 30th, 2024
Jamii imetakiwa kutumia dawa za kutibu maji au kuchemsha kabla ya kuyatumia ili kujikinga na ugonjwa wa kipindupindu pamoja na magonjwa mengine ya tumbo kama kuharisha na kutapika.
Hayo yamesemwa n...
Posted on: July 27th, 2024
Katibu tawala wa Wilaya ya Ilemela Adv.Mariam Msengi akimwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe.Hassan Masala amesema hakuna mtu wala kundi litakaloachwa katika mchakato wa maandalizi ya dira ya taifa ya 2...
Posted on: July 26th, 2024
Wenyeviti wa mamlaka za Serikali za mitaa wamesisitizwa kuhakikisha wanaitisha mikutano ya hadhara kwaajili ya kuhamasisha maendeleo, kutoa taarifa za mapato na matumizi ili wananchi wajue kinachofany...