• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

UMMY WAYAYU: "TUKUMBUKE HAKI NA WAJIBU"

Posted on: January 28th, 2025

UMMY WAYAYU: “TUKUMBUKE HAKI NA WAJIBU”

 

Mkurugenzi Ummy Wayayu amewakumbusha watumishi wa umma kuwa haki inaenda sambamba na wajibu kwa kuwataka watumishi wa umma kuhakikisha wanatimiza wajibu wao ili waweze kupata haki zao za msingi na hivyo kupunguza manung’uniko ndani ya taasisi.

 

Mkurugenzi Ummy ameyasema hayo tarehe 28 januari 2025 wakati wa kikao cha baraza la wafanyakazi la manispaa ya Ilemela lililoketi kwa ajili ya kufanya mapitio ya utekelezaji wa bajeti inayoendelea ya 2024/2025 sambamba na kujadili rasimu ya mpango na bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026.

 

“Niwakumbushe watumishi wenzangu kuwa ili kuweza kupata haki zenu hamna budi kuhakikisha mnatimiza wajibu wenu, kwani vitu hivi vinaenda sambamba”. Amesema ummy

 

Wakichangia katika kikao hicho cha baraza, wajumbe wameipongeza rasimu hiyo ya mpango na bajeti na kuomba iwe ni yenye kutekelezeka kwa kuzingatia  maslahi ya watumishi wa Ilemela 

 

Sambamba na pongezi hizo katika nyakati tofauti wajumbe walipata wasaa wa kuzijadili changamoto mbalimbali zinazowakabili ambazo hupelekea kuathiri utendaji kazi wao ikiwemo swala la uoungufu wa vifaa, usafiri, n.k na kuomba kufanyika kwa tathmini ya majengo ya shule ambayo yamechoka ili yaweze kukarabatiwa.

 

Nae katibu tawala wa wilaya ya Ilemela, Wakili Mariam Msengi amempongeza mkurugenzi kwa kuitisha kikao hicho ambacho kipo kwa mujibu wa sheria huku akiwapongeza wawakilishi wa watumishi kwa kuziwasilisha changamoto zao kwa uwazi zinazolenga kuboresha utekelezaji wa majukumu yao

 

Aidha wakili Mariam amemtaka mkurugenzi kuhakikisha kuwa changammoto zilizowasilishwa zinatafutiwa ufumbuzi ili zisije kujirudia katika vikao vingine.

 

Goodluck Luginga ambae nia afisa kazi mkoa wa Mwanza amepongeza kwa namna kikao kimeendeshwa ambapo yeye amewakumbusha wajumbe wa baraza kuhakikisha wanatoa mrejesho wa masuala yaliyojadiliwa katika kikao kwa watumishi wanaowawakilisha ili waweze kufahamu masuala ambayo yamejadiliwa.

 

Mkurugenzi ummy alihitimisha kikao hicho kwa kuwasisitiza juu ya suala la uwazi na kuwataka watumishi kuwa huru kuzifikisha kwake changamoto zinazowakabili ili kuepusha mpasuko ndani ya taasisi.

 

“ Kunapokuwa na changamoto zozote tufahamishane ili tusitengeneze mipasuko katika taasisi yetu”, Ummy alisema.

 

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • WALENGWA TASAF WAASWA KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA VIKUNDI

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.