Posted on: October 30th, 2020
Aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Angeline Sylvester Mabula ameibuka mshindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 uliofanyika tarehe 28 mwezi wa Kumi.
Akitanga...
Posted on: September 15th, 2020
Mhe. Dkt Severine Mathias Lalika, Mkuu wa Wilaya ya Ilemela amewataka wananchi wa Ilemela kutokulionea aibu suala la kujiunga na elimu ya watu wazima.
Ameyasema hayo katika maadhimisho ya...
Posted on: August 17th, 2020
Watumishi wa Manispaa ya Ilemela wakiwemo walimu wa shule za msingi na sekondari pamoja na watumishi kutoka idara ya afya wamekabidhiwa hati miliki 315 za ardhi ambapo hati 297 zimekabidhiwa kwa...