Posted on: November 17th, 2025
Jumla ya watahiniwa 7912 (Wavulana 3801 na wasichana 4111) waliosajiliwa kufanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2025 katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela wameanza rasmi mtihani huo utakaofa...
Posted on: November 17th, 2025
Mkuu wa wilaya ya Ilemela, Mhe AmirI Mkalipa amesisitiza juu ya kufanyika kwa vikao vya wazazi mashuleni kwa ajili ya kuwahamasisha na kuwahimiza wazazi kuhakikisha wanachangia chakula ili watot...
Posted on: October 26th, 2025
Kuelekea uchaguzi mkuu 2025, mapema leo tarehe 26 Oktoba 2025 jumla wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa vituo 2870 wameapa kiapo cha utii sambamba na kupatiwa mafunzo yatakayowawezesha kusimamia uch...