Posted on: December 2nd, 2022
Walengwa wa mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) wametakiwa kuimarisha vikundi vyao kwa kubuni shughuli mbalimbali za uzalishaji ambazo zitaweza kuwaletea unafuu wa maisha.
Wito huo ume...
Posted on: December 1st, 2022
Ujenzi wa vyumba 110 vya madarasa katika shule za Sekondari za Manispaa ya Ilemela umefikia takriban asilimia 80 ya ukamilishaji, ambapo kukamilika kwa ujenzi huu kunaenda kuondoa ch...
Posted on: November 30th, 2022
Manispaa ya Ilemela kupitia idara ya Afya imelenga kutoa chanjo ya matone ya polio kwa watoto 131,828 wenye umri chini ya miaka 5.
Mhe Hassan Masala Mkuu wa Wilaya ya Ilemela ambae ni Mwen...