Posted on: February 8th, 2023
Watendaji wa kata na Mitaa wa Manispaa ya Ilemela wametakiwa kuwa chachu katika suala zima la ukusanyaji wa mapato ya serikali
Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela Mhand...
Posted on: February 6th, 2023
Mhe. Hassan Masala, Mkuu wa wilaya ya Ilemela amewataka maafisa elimu watendaji, viongozi wa kata na mitaa kwa kushirikiana na wazazi, kufanya ufuatiliaji wa haraka kwa wanafunzi 1500 ambao hawajaripo...
Posted on: January 19th, 2023
Halmashauri ya manispaa ya Ilemela imekidhi vigezo vya kutekeleza miradi minne kati ya tisa iliyowasilisha kupitia mradi wa Green and Smart Cities Sasa chini ya ufadhili wa umoja wa ulaya.
...