Posted on: July 25th, 2024
Jamii ya Ilemela ikiongozwa na Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Adv.Mariam Msengi ambaye pia ni katibu tawala wa Wilaya hiyo wameadhimisha kumbukizi ya siku ya mashujaa kwa kufanya usafi katika...
Posted on: July 24th, 2024
Jumla ya mitaa kumi na tano ikiwemo Butindo, Chabakima, Ibaya, Bulyang'hulu, Mwakalundi, Masemele, Igogwe, Kimanilwentemi, Nkoronto, Isanzu, Bujingwa, Nyashimba, Bujimile na Nyanguku inayopatikana Man...
Posted on: July 23rd, 2024
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kupitia mapato yake ya ndani imetenga bajeti ya jumla ya kiasi cha shilingi millioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya ndani ya kata ya Ibungilo mtaa w...