• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WATAALAM WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUFANIKISHA AJENDA YA LISHE MASHULENI

Posted on: August 2nd, 2024

Wataalam wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela wametakiwa kushirikiana kwa pamoja kuhakikisha ajenda ya lishe inatekelezeka na kufanikiwa katika shule zote za manispaa hiyo.

Rai hiyo imetolewa na Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilemela Dkt.Maria Kapinga wakati akizungumza na watendaji wa kata,mitaa na maafisa elimu kata katika ukumbi wa jengo jipya la utawala ambapo amefafanua kuwa ili suala la lishe mashuleni liweze kufanikiwa ni lazima wataalam hao waunganishe nguvu kwa pamoja kwa kuishirikisha jamii .

‘.. Ajenda ya lishe ni ajenda ya Mheshimiwa Rais, kwa hiyo sisi sote tuna jukumu la kuhakikisha ajenda hii inafanikiwa na watoto wanakuwa na afya bora, kuanzia wale wachanga mpaka wanafunzi wale wa mashuleni, mtoto hawezi kuwa na uwezo mzuri wa kufikiri kama afya yake ni dhaifu ..’ Alisema

Aidha Dkt.Kapinga amewahakikishia ushirkiano wataalam wote wa sekta nyingine kwa muda wote wataohitaji kufanya hivyo ili kuhakikisha zoezi la lishe mashuleni linafanikiwa .

Mwl.Marco Busungu ni Afisa elimu msingi Manispaa ya Ilemela yeye amewataka wataalam hao kujituma na kutanguliza uzalendo katika kutekeleza majukumu yao kuhakikisha masuala ya lishe  yanafanikiwa na kwamba kwa mwaka huu wa fedha zipo jitihada ambazo serikali imezichukua katika kurahisisha utekelezaji wa majukumu yao ikiwemo kutenga bajeti kwa ajili ya uratibu wa shughuli za lishe kwa watendaji wa mitaa na kata .

Nae Mratibu wa lishe Manispaa ya Ilemela Bi.Pili Khasimu amesema kuwa Tanzania ilianzisha siku ya afya na lishe ya kijiji katika miaka ya 1980 ikilenga kuongeza ufuatiliaji wa lishe ukuzaji wa viwango vya vituo vha afya katika kutoa huduma kwa kuongeza elimu ya unyonyeshaji, chanjo, matumizi ya Oral Rehydrated Salt (ORS) na uanzishaji wa chakula cha nyongeza.

 Ameongeza kuwa tangu mwaka 2023 wadau tofauti nchini wameijumuisha siku ya afya na lishe ya kijiji au mtaa kama sehemu muhimu katika program zao ambazo zimeonekana kuwa nzuri katika kutoa huduma kamili za maendeleo ya awali ya mtoto pamoja na huduma za lishe katika ngazi ya jamii.

Wakichangia kwa nyakati tofauti Kelvin Gilo ambae ni mtendaji wa mtaa wa Igumamoyo kata ya Sangabuye na Asha Mahiza ambae ni Afisa elimu kata ya Nyakato wameshauri kutengwa kwa bajeti toshelezi kwa ajili ya  kufanikisha shughuli zote za lishe ikiwemo uelimishaji sambamba na mchakato wa kutunga sheria ndogo itakayosimamia masuala ya lishe.

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.