Posted on: April 25th, 2018
Jumla ya vitabu 47,946 vimekabidhiwa leo tarehe na 25/04/2018 kwa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela na Mkuu wa mkoa Mwanza Mhe. John Mongella kwa niaba ya Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli.
...
Posted on: April 23rd, 2018
Wananchi wa mtaa wa Lukobe katika kata ya Kahama iliyopo Manispaa ya Ilemela wanatarajia kuondokana na adha ya upatikanaji wa huduma ya afya mara baada ya ujenzi wa zahanati ya Lukobe kukamilika.
...
Posted on: April 17th, 2018
Halmashauri ya manispaa ya Ilemela kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Plan International imeunda baraza la watoto la wilaya hiyo litakalokuwa na lengo la kutetea na kulinda h...