• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

VIKUNDI VYATAKIWA KUZUNGUSHA FEDHA ZA RUZUKU

Posted on: July 11th, 2017

VIKUNDI VYATAKIWA KUZUNGUSHA FEDHA ZA RUZUKU

Vikundi vyote vinavyonufaika na fedha za ruzuku kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela vimetakiwa kuzungusha fedha hiyo katika shughuli mbalimbali za uzalishaji ili kukidhi malengo ya Serikali katika kutoa fedha hizo.


Hayo yamesemwa na Naibu Meya wa Manispaa ya Ilemela ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya Ukimwi ya Manispaa hiyo Mheshimiwa Shabaan Ramadhan Maganga wakati wa ziara ya kamati yake iliyohusisha   ukaguzi wa huduma za upimaji na unasihi katika kituo cha afya Buzuruga na Shaloom Care House kabla ya kuhitimisha katika  kikundi cha Ujasiriamali cha Upendo Pasiansi ikiwa ni ufuatiliaji wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo inayotekelezwa katika manispaa yake chini ya kamati ya Ukimwi kwa robo ya nne 2016/2017. 

“Jitahidini sana angalau kila mtu apate pesa za mtaji msikubali kuweka pesa zote zikae tu benki bila sababu ya msingi wakati mzunguko wa mtaji wenu uko chini,  Zungusheni pesa ili mkuze mitaji yenu mkifanya hivyo badala ya mtu kuwa na biashara moja atakuwa na biashara zaidi ya moja na sisi manispaa tupo pamoja nanyi lengo letu ni kuona fedha tunazowapa zinawasaidia kujikwamua kiuchumi”, Alisema.

Aidha Mhe Maganga ametaka kuchukuliwa hatua kwa vikundi vyote visivyofuata utaratibu sambamba na kuwa na matumizi mabovu ya fedha za ruzuku kwa lengo la kuhakikisha ruzuku hiyo inayotolewa inaenda kuwasaidia walengwa na si kunufaisha watu wachache wenye maslahi binafsi.

Nao wajumbe wa kamati hiyo wakichangia walisisitiza suala la kutolewa kwa elimu ya ujasiriamali na utunzaji wa fedha ili kuweza kuwa na matumizi mazuri ya fedha kwa vikundi hivyo.



Kwa upande wa Mwenyekiti wa kikundi cha wajasiriamali Upendo Pasiansi  Bi Martha Pius kwa niaba ya wenzake mbali na kuishukuru Manispaa ya Ilemela chini ya mwenyekiti wa kamati ya Ukimwi ameiomba Serikali kuona namna bora katika kuhakikisha inawaongezea ruzuku ili kuimarisha mtaji walionao ukilinganisha na uwezo wa uzalishaji wa kikundi chao.

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • WALENGWA TASAF WAASWA KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA VIKUNDI

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.