Posted on: October 21st, 2021
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela inaendelea na ufuatiliaji na usimamizi wa matumizi bora ya fedha katika miradi mbalimbali inayoendelea wilayani humo .
Hayo yamethibitishwa kupitia kamati ya hudu...
Posted on: October 18th, 2021
Mhandisi Modest Apolinary Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela amesisitiza suala la ushirikiano ili kuweza kufikia malengo yaliyowekwa kwani mawazo ya wengi hutoa majibu mengi.
“Ushirikiano wetu utatu...
Posted on: October 18th, 2021
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, Mhandisi Modest Apolinary amewataka watendaji katika kata ya Nyamanoro kuhakikisha wanatumia fedha za ujenzi wa madarasa mapya kwa malengo yaliyokusudiwa.
Ameyase...