Posted on: July 4th, 2025
"Ili uweze kufanya kazi vizuri na kwa ufanisi tunakutegemea uzingatie vitu vitatu ambavyo ni kuhakikisha unaweka mipango sahihi ya kazi, kuisimamia mipango yako vizuri, kwa kupima na kutekeleza kwa us...
Posted on: July 3rd, 2025
Wanufaika wa mpango wa kunusuru kaya masikini wameendelea kupatiwa elimu ya fedha itakayowawezesha kuongeza ufanisi katika shughuli za kuongeza kipato, uwekezaji sahihi pamoja na uwekaji wa akiba.
...
Posted on: July 2nd, 2025
Imeandaliwa na Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali- Ilemela
Halmashauri ya manispaa ya Ilemela inatarajia kuanza utekelezaji wa zoezi la uchanjaji wa mifugo tarehe 03 Julai 2025 zoezi ambalo litadu...