Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kwa kushirikiana na Manispaa ya Ilemela utafanya malipo kwa Walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini katika Mitaa yote 171 kuanzia Jumatatu tarehe 28/04/2025 hadi Jumatano tarehe 30/04/2025.
Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela
Postal Address: 735 MWANZA
Telephone: + 255 736 200910
Mobile:
Email: md@ilemelamc.go.tz
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.