Posted on: April 25th, 2022
Wananchi wa Ilemela wameaswa kutumia vyandarua vyenye viatilifu na kuboresha usafi wa mazingira ili kuepuka mazalia ya mbu wanaoleta ugonjwa wa Malaria.
Akizungumza na wananchi wa Ilemela wakati wa...
Posted on: April 21st, 2022
Jamii imetakiwa kushiriki na kuunga mkono utekelezaji wa shughuli mbalimbali za kimaendeleo zinazoendelea katika maeneo yao.
Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa wilaya ya Ilemela Mhe Hasan Eli...
Posted on: April 20th, 2022
Mkuu wa wilaya ya Ilemela Mhe Hasan Elias Masala ameridhishwa na kupongeza hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa shule ya sekondari kata ya Buzuruga itakayogharimu kiasi cha shilingi milioni mia nne na s...