• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

MADIWANI WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WATENDAJI UKUSANYAJI WA MAPATO

Posted on: January 30th, 2025

Madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Ilemela wametakiwa kushirikiana na watendaji wa ngazi za mitaa na kata kuhakikisha wananchi wanalipa tozo mbalimbali za halmashauri ili kuongeza mapato kwaajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo

 

Rai hiyo imetolewa na mstahiki meya wa manispaa ya Ilemela Mhe Renatus Mulunga wakati wa kikao cha baraza la madiwani kwa ajili ya kupokea na kujadili taarifa za kata kilichofanyika tarehe 30 januari 2025 ambapo amefafanua kuwa ili shughuli za maendeleo ziweze kutekelezeka kwa ufanisi ni lazima kasi ya ukusanyaji mapato iongezeke

 

'.. Madiwani wenzangu tuhakikishe tunashirikiana na watendaji wetu katika suala la ukusanyaji wa mapato, ukusanyaji wa mapato si jambo la kisiasa, na wapiga kura wetu wanatutegemea sana katika kutekeleza Ilani ya uchaguzi, miradi yote tulioahidi kutekeleza haiwezi kukamilika kama hatutakusanya mapato vizuri ..' Alisema

 

Aidha Mhe Mulunga amewataka viongozi na watendaji wa manispaa hiyo kuhakikisha wanahamasisha jamii juu ya kuwapeleka watoto shule kwa madarasa ya awali, darasa la kwanza na kidato cha kwanza ili uwezekezaji uliofanywa na serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika sekta ya elimu uweze kuwa na tija

 

Kwa upande wake mwakilishi wa mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela ambae pia ni afisa utumishi mkuu Ndugu Teulas Egidy akasema kuwa manispaa ya Ilemela inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika maeneo tofauti na kwamba changamoto chache zilizosalia zitamalizwa kupitia bajeti ya mwaka huu wa fedha hivyo kuwaomba kuendelea kushirikiana ili wananchi waweze kupata maendeleo

 

Mhe Sara Ngh'wani ni diwani wa kata ya Buswelu, akichangia katika kikao hicho ameishauri manispaa ya Ilemela kuona namna bora ya kutumia ujenzi wa maduka yanayozunguka shule za manispaa hiyo kama suluhu katika kukabiliana na changamoto za uzio sanjari na kuongeza mapato huku afisa elimu takwimu msingi wa manispaa hiyo Mwalimu Johanes John akisema kuwa sera haijakataza wala kuruhusu uamuzi huo na badala yake idara yake itafuatilia kuona namna bora ya utekelezaji wa mawazo hayo

 

Nae katibu wa CCM wilaya ya Ilemela Ndugu Hasan Milanga ameipongeza manispaa ya Ilemela kwa ununuzi wa vifaa na mitambo ya ujenzi wa barabara pamoja na uanzishaji wa kituo kwa ajili ya ulipaji na ukusanyaji wa mapato katika ofisi ya kata ya Nyamanoro huku akishauri kuanzisha vituo vya aina hiyo katika maeneo mengine kurahisha ulipaji wa kodi za serikali kwa wananchi

 

Manispaa ya Ilemela imefanya vikao vyake vya robo ya pili kuzipatia ufumbuzi kero na changamoto mbalimbali zinazokabili wananchi wake.

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • WALENGWA TASAF WAASWA KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA VIKUNDI

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.