• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

DC MASALA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA ELIMU

Posted on: July 11th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Mhe Hassan Masala  ameupongeza uongozi wa Manispaa ya Ilemela kwa utekelezaji mzuri wa ujenzi wa vyumba 44 vya madarasa katika shule za sekondari.


Mhe Masala ametoa pongezi hizo akiwa katika ziara ya ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi ya sekta ya elimu wilayani Ilemela.


"Lengo ni kufuatilia namna fedha zimetumika kwani  tunao wajibu wa kuhakikisha kuwa kunakuwa na mazingira bora ya kujifunzia na kufundishia" amesema Mhe Masala


Pamoja na pongezi hizo, Mhe Masala amemtaka Mkurugenzi kupitia fedha za mapato ya ndani, kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa ambayo yalijengwa kwa nguvu za wananchi.


Nae Mbunge wa jimbo la Ilemela Mhe Angeline Mabula amemshukuru Mhe Rais kwa namna ambavyo amekuwa akigusa sekta mbalimbali ndani ya jimbo lake hususan sekta ya elimu kwani imepunguza mzigo mkubwa kwa wananchi kuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa.


"Kupitia Rais Samia kazi imerahisishwa hakuna tena uchangishaji wa  fedha za ujenzi wa madarasa kero hii imeondoka", Amesema Mhe Mabula


Bi Ummy Wayayu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela nae ameungana na  viongozi wengine kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Maendeleo huku akiwasihi wataalam  wanazisimamia fedha hizo ikiwa ni pamoja na kuhakikisha thamani ya fedha inaonekana.


"Niendelee kuwasihi kuwa fedha ya serikali zinapoletwa  tuzisimamie, kwa kuzingatia thamani ya fedha inaonekana hii iende pamoja na kutunza nyaraka mbalimbali za manunuzi",amesistiza Bi Ummy


Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilemela, Mhe Renatus Mulunga kwa niaba ya wananchi wa Ilemela ameishukuru serikali chino yake Mhe Dkt. Samia kwa kuendelea kutoa fedha za utelezaji wa niradi huku akihimiza juu ya suala ya ushirikiano.


Shilingi Bilioni 2.46 zilipokelewa kutoka serikali kuu kwa ajili ya ujenzi wa madarasa mapya, ukamilishaji wa maboma sambamba na ujenzinwa matundu ya vyoo katika shule 25 za sekondari wilayani Ilemela.


Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • WALENGWA TASAF WAASWA KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA VIKUNDI

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.