• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

MHE MABULA: ' MAENDELEO HAYAWEZI KUFIKIWA KAMA HAKUNA USHIRIKIANO

Posted on: July 28th, 2023

Mbunge wa jimbo la Ilemela,na Waziri wa Ardhi Nyumba na maendeleo ya Makazi Mhe Dkt. Angeline Mabula amewahimiza wananchi wa Ilemela kuhakikisha wanaendelea kushirikiana na serikali katika kuyafikia maendeleo.


Ameyasema hayo wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa kupitia fedha za Serikali kuu, mfuko wa jimbo, mapato ya ndani na fedha za wananchi.


"Maendeleo hayawezi kufikiwa kama hakuna ushirikiano, na kadri tunavyoendelea kuibua miradi na Serikali inapata nguvu ya kuweka mkono wake"amesema Mhe Mabula.


Sambamba na rai hiyo amewapongeza Wananchi wanavyoshirikiana na madiwani kuibua miradi mbalimbali ya maendeleo katika kata zao huku akielekeza kuhakikisha kuwa taarifa za mapato na matumizi zinasomwa katika mikutano ya hadhara ili wananchi waendelee kuguswa kuchangia maendeleo.


Aidha amemuelekeza Afisa Ardhi wa Manispaa kuhakikisha kila taasisi inakuwa na hati miliki ili kuepusha migogoro ya ardhi.


Nao Madiwani kutoka kata za Mecco, Ibungilo, Nyamanoro, Pasiansi na Kitangiri wamemshukuru Mhe Mabula kwa namna ambavyo amekuwa nao bega kwa bega katika maendeleo ya kata zao kwa kutoa matofali na hata kutetea Manispaa ya Ilemela kupata fedha za utekelezaji wa miradi mbalimbali.


Laban ambae ni mwanafunzi wa chuo cha mipango ameishukuru serikali kwa jitihada zake katika kuwaletea wananchi maendeleo akitoa rai kwa wananchi wengine kujitokeza kuunga juhudi za serikali, ameyasema hayo wakati Mbunge alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Zahanati mtaa wa Bwiru Press


Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilemela , Wakili Mariam Msengi akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Ilemela amempongeza Mbunge kwa jitihada zake huku akiahidi kuendelea kuunga mkono jitihada zote za kuwaletea wananchi maendeleo.


Katika ziara hiyo Mbunge aliweka jiwe la Msingi ofisi ya Kata ya Mecco na kukagua ujenzi wa vyumba vya madarasa katika kata ya ibungilo, ujenzi wa zahanati za Kitangiri na Pasiansi na ujenzi wa ofisi ya mtaa wa Kilimahewa A kata ya Nyamanoro.

Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • WALENGWA TASAF WAASWA KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA VIKUNDI

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.