• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WANAILEMELA WAADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA KWA USAFI NA KUPIMA AFYA

Posted on: July 25th, 2024

Jamii ya Ilemela ikiongozwa na Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela Adv.Mariam Msengi ambaye pia ni katibu tawala wa Wilaya hiyo wameadhimisha kumbukizi ya siku ya mashujaa kwa kufanya usafi katika eneo la kituo cha afya Buswelu ambapo huduma mbalimbali za afya zimetolewa bure.

Akizungumza wakati wa mazoezi hayo Adv.Msengi amemshukuru Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kutoa fedha nyingi katika maboresho ya sekta ya Afya ambapo kituo cha Afya Buswelu ni moja ya matokeo chanya ya uboreshaji huo .

“  Kituo hiki cha Buswelu kwa sasa kinatoa huduma kwa wananchi wengi ambao hapo awali walikuwa wakitembea umbali mrefu kupata huduma za Afya .”

Amewataka wananchi wa Ilemela kutumia fursa hiyo ya kupata huduma za afya zinazotelewa bure katika kituo hicho huku akisisitiza afya ni mtaji katika kuishi na ni wajibu wa kila mmoja kujijali kwa kujifuatilia kwani taifa linahitaji nguvu kazi imara.

Nae diwani wa kata ya Buswelu Mhe.Sarah Ngw’ani amepongeza uongozi wa Wilaya ya Ilemela kwa maadhimisho hayo na kusisitiza kuwa ni muhimu yaendelee kwa faida ya vizazi vya sasa na vijavyo kuelewa mashujaa walivyojitoa kwa uzalendo kupigania taifa lao.

Akihitimisha hafla hiyo Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilemela Dkt.Maria Kapinga amewataka wananchi wa Ilemela kujijengea mazoea ya kupima afya zao mara kwa mara kufahamu hali zao ili kujua namna bora ya kuenenda na hali za kiafya walizonazo.

“  Sasa hivi magonjwa yasiyoambukiza yanakuja kwa kasi sana ,watu wengi wana presha wana kisukari lakini hawajijui ,wengi wanakuja hospitali hali zikiwa mbaya kabisa muepukane na hayo kwa kupima afya mara kwa mara hata kama hujisikii kuumwa.Kinga ni bora kuliko tiba.”

Agnes Masalu ni mkazi wa Lukobe ni mmoja wa wananchi waliopata huduma yeye anapongeza uongozi wa Wilaya kuwajali watu wake na kuomba utaratibu huo uendelee.

Announcements

  • ORODHA MAJINA YA WATENDAJI WA VITUO WALIOTEULIWA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI MWAKA 2025 JIMBO LA ILEMELA October 20, 2025
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA VYUMBA VYA BIASHARA October 16, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -JIMBO LA ILEMELA October 14, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 July 08, 2025
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • KAMBI YA MADAKTARI BINGWA WA RAIS SAMIA YAANZA KUTOA HUDUMA ILEMELA

    October 20, 2025
  • TIMU YA MENEJIMENTI ILEMELA YAKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    October 16, 2025
  • DKT BITEKO AZINDUA MRADI WA PANDEMIC FUND, AELEKEZA USIMAMIZI MZURI

    October 15, 2025
  • ELIMU YA MABADILIKO YA TABIA NCHI YATOLEWA KWA MAAFISA UGANI KILIMO MANISPAA YA ILEMELA

    September 29, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.