• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WATENDAJI WA KATA WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO WA FFARS

Posted on: August 19th, 2023

" Ni mpango wa serikali kuhakikisha kuwa huduma mbalimbali za kifedha ikiwemo matumizi yake yanafanyika kidijitali kupitia mifumo mbalimbali ya TEHAMA kwa uwazi mkubwa pamoja na upatikanaji wa taarifa wakati wowote ikiwa ni moja ya njia ya kupunguza mianya ya upotevu wa fedha na kuongeza kasi ya uwajibikaji na kupata matokeo chanya kwa wakati."


Hayo yamezungumzwa na Kaimu Mkuu wa kitengo cha TEHAMA Manispaa ya Ilemela Isack Tanguye wakati akitoa mafunzo ya mfumo wa "FFARS" kwa watendaji wa kata zote 19 zinazounda Manispaa ya Ilemela


Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kupitia kitengo cha TEHAMA imetoa mafunzo juu ya mfumo wa FFARS ambao unaendelea kutumika  katika vituo vya kutolea huduma mbalimbali za kijamii.


" Facility Financial Accounting and Reporting System "FFARS" ni mfumo wa kihasibu wa kifedha na utoaji taarifa maeneo ya vituoni ambako shughuli/huduma mbalimbali za fedha  zinatolewa mfano shuleni na vituo vya kutolea huduma za afya. " Amesema Tanguye.


Nae mhasibu wa mfumo wa FFARS Manispaa ya Ilemela Bi.Philimina Tibaijuka amebainisha faida za mfumo huo ni upatikanaji wa taarifa kwa wakati sambamba na uwazi wa kila kinachofanyika kifedha katika eneo mfumo unapotumika.


Bernadetha Charles ni mtendaji wa kata ya Ibungilo yeye anashukuru uongozi kwa mafunzo hayo yenye manufaa makubwa katika utendaji wao wa kazi.


"Naishukuru serikali na uongozi wa Manispaa kwa kutupatia mafunzo haya kwani yatatusaidia sana kwenye miradi mbalimbali inayotekelezwa kwenye kata na pia itatupunguzia hoja za kiukaguzi kwani mfumo utaonyesha namna pesa ilivyotumika."


Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela kupitia kitengo cha TEHAMA imetoa mafunzo juu ya mfumo wa FFARS ambao unaendelea kutumika katika vituo vya kutolea huduma mbalimbali za kijamii.





Announcements

  • TANGAZO LA KAZI NAFASI YA MWENYEKITI BODI YA AJIRA YA MANISPAA YA ILEMELA January 22, 2026
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA ASILIMIA 10 November 21, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA ASILIMIA 10 November 21, 2025
  • ORODHA MAJINA YA WATENDAJI WA VITUO WALIOTEULIWA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI MWAKA 2025 JIMBO LA ILEMELA October 20, 2025
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • MADIWANI ILEMELA WAAPISHWA, BARAZA KUANZA KAZI RASMI

    December 03, 2025
  • ILEMELA YAANZA MAANDALIZI YA MPANGO NA BAJETI 2026/2027

    November 25, 2025
  • "UPANDAJI WA MICHE YA MATUNDA UWE ENDELEVU";DC MKALIPA

    November 20, 2025
  • WATAHINIWA 7912 KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2025 MANISPAA YA ILEMELA

    November 17, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.