• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

Serikali yasisitiza uadilifu matumizi ya fedha za mpango wa maendeleo

Posted on: October 30th, 2021

Serikali imesisitiza uwazi, nidhamu na uadiLifu katika matumizi ya fedha za utekelezaji wa miradi inayotokana na mpango wa maendeleo dhidi ya UVIKO-19 na na ile ya fedha zilizotokana na tozo za miamala ya simu


Rai hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Ilemela Mhe Hasan Elias Masala wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa vitakavyo gharimu kiasi cha shilingi bilioni moja na milioni mia tisa arobaini akiwa ameambatana na kamati yake ya ulinzi na usalama ya wilaya ambapo amewataka watendaji na viongozi kuhakikisha fedha hizo zinatumika vizuri na kwa malengo yaliyokusudiwa kwamba hairuhusiwi kulipana posho wala kuongeza matumizi yaliyo kinyume na maelekezo ya matumizi ya fedha hizo


‘.. Tunahitaji miradi hii ikamilike kwa wakati uliokusudiwa ikiwa na ubora ule ule tunaotaka, Ni bora tukapunguza matumizi kwa shughuli ambazo tunaona zinaweza zikafanywa na jamii badala ya kulipa watu wakafanya shughuli hizo kuliko kuongeza matumizi ..’ Alisema


Aidha Mhe Masala mbali na kumshukuru Rais Mhe Samia Suluhu Hasan kwa kutoa fedha hizo za ujenzi wa vyumba vya madarasa amesisitiza umakini katika suala la ulipaji wa mafundi, ununuzi wa vifaa sambamba na kuelekeza kutoingiwa kwa mkataba wa jumla katika uendeshaji wa shughuli za ujenzi wa vyumba hivyo vya madarasa ili kuepuka kukwama kwa kazi pindi fundi wa mradi anapopata dharula ikiwemo kuumwa, uzembe au sababu nyenginezo


Kwa upande wake mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela,Mhandisi Modest Apolinary amefafanua kuwa yapo maelekezo na hatua mbalimbali ambayo yamekwishatolewa juu ya utekelezaji wa mradi huo ili kuongeza ufanisi na ubora wake ikiwemo ununuzi wa pamoja wa baadhi ya vifaa sambamba na kusisitiza umakini na uzingatiaji wa maelekezo ya Serikali na viongozi wake katika kutekeleza miradi hiyo


Nae Diwani wa kata ya Shibula Mhe Swila Dede ameishukuru kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo kwa uamuzi wake wa kutembelea na kukagua hatua za ujenzi wa vyumba hivyo vya madarasa kwani kitendo hicho kitasaidia kupunguza baadhi ya changamoto  zinazotokana na ufahamu mdogo wa maelekezo ya Serikali kwa baadhi ya watumishi na viongozi wa ngazi za chini juu ya sheria, taratibu na miongozo ya matumizi ya fedha za ujenzi sambamba na kuongeza ari na morali ya ushiriki wa jamii katika kujitolea nguvu na mali kukamilisha ujenzi huo


Katika ziara hiyo shule ya sekondari Sangabuye, Bugogwa, Kisundi, Shibula  na Lumala zilitembelewa




Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.