• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI ILEMELA CHAWEZESHWA

Posted on: July 29th, 2023

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Manispaa ya Ilemela, kimepatiwa kifaa aina ya Kamera Anga, 'DRONE', Na uongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilemela.


Akikabidhi kifaa hicho kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela, Ndugu Yusufu Bujiku ambae ndie Mwenyekiti wa CCM(W) amesema kuwa anatambua Ilemela ambavyo imekuwa ikitoa ushirikiano kwa Chama na hivyo imeona ni vizuri kutoa kifaa hicho kiweze kusaidia Kitengo cha mawasiliano kuendana na mabadiliko ya Teknolojia katika suala zima la uhabarishaji.


Adv.Kibamba Kiomoni amesema serikali inafanya vitu vingi vikubwa ambavyo wananchi wanapaswa kuvifahamu hivyo amekitaka kitengo cha mawasiliano Ilemela kuendeleza jitihada na kuhakikisha kuwa wanazitangaza kazi za serikali kwa kasi, ameyasema hayo wakati akimkabidhi Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Kamera hiyo.


"Tunajivunia ubunifu na namna kazi za habari zinavyofanyika tupo kwa ajili ya kupeana moyo ili mambo yaende,sio kwa kitengo cha mawasiliano tu bali idara na vitengo vingine vyote hapa Manispaa."


Silas Simon ni mwandishi wa habari kutoka YUHOMA online TV yeye anakiri kazi nzuri inayofanywa na kitengo cha mawasiliano Ilemela kutokana na taarifa nyingi kuwa wazi na kupatikana kwa urahisi.


" Kweli mnastahili, kitengo kinafanya vizuri kwa sababu ya uongozi mzuri wa madam Viola ni mfano wa kuigwa kwa kweli.", amesema Silas


Nae Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Bi Violencia kwa niaba ya watumishi waliopo ndani ya kitengo hicho ametoa shukrani za dhati kwa Uongozi wa CCM Ilemela kwa kutambua kazi inayofanywa na kitengo hicho huku akiahidi kufanya kazi kwa bidii na kuhakikisha wananchi wanafahamu kazi kubwa inayofanywa na serikali katika kuwaletea wananchi Maendeleo.


Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • WALENGWA TASAF WAASWA KUENDELEA KUWEKEZA KATIKA VIKUNDI

    April 28, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.