• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

TIMU YA UFUATILIAJI MIRADI TAMISEMI YAIPONGEZA MANISPAA YA ILEMELA

Posted on: January 19th, 2018


Timu ya ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi ya afya kutoka Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI imeipongeza halmashauri ya manispaa ya Ilemela kwa ujenzi uliozingatia ubora na ufanisi wa majengo ya kisasa ya kituo cha afya cha Karume kilichopo kata ya Bugogwa manispaa ya Ilemela.

Pongezi hizo zimetolewa na kiongozi wa Timu hiyo ndugu Rasheed Maftah ambae pia ni mkurugenzi msaidizi wa ofisi ya rais tawala za mikoa na serikali za mitaa mara baada ya kutembelea kituo cha afya cha Karume na kukagua ujenzi wa kituo hicho akiambatana na wataalamu wengine kutoka ofisi yake ambapo amesema anaridhishwa na utekelezaji wa ujenzi wa kituo hicho uliozingatia ubora na viwango vya kitaalamu vinavyotakiwa kwa kutumia mafundi wa kawaida mtaani uliosaidia kupunguza gharama na kukamilika haraka  kwa mradi

‘…Kiukweli niseme tu ripoti ya ujenzi ni nzuri na tumeona uhalisia hapa inaonesha kweli thamani ya pesa inaonekana na maelekezo ya katibu mkuu kwa kiasi kikubwa mmeyazingatia, nawapongeza saana …’ Alisema


Kwa upande wake msanifu majengo kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa Mwanza ndugu Chagu Nghoma amezitaja changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika utekelzaji wa miradi ikiwemo uhaba wa baadhi ya malighafi za ujenzi na uvamizi wa maeneo ya umma kitendo kinachozalisha migogoro isiyo ya lazima na kuchelewesha miradi hiyo  hivyo kuwaomba kuzitafutia ufumbuzi wa haraka changamoto hizo.

Nae  mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela ndugu John Wanga mbali na kushukuru kwa pongezi hizo ameongeza kuwa mafanikio ya mradi huo ni ushirikiano mzuri uliopo katika manispaa yake kwa  wataalamu, viongozi na wananchi kushirikiana kwa pamoja huku akiwaasa wananchi kuacha kuvamia maeneo ya umma na kuomba kupungua kwa gharama za upimaji na hati miliki ya ardhi kwa taasisi za serikali ikiwemo masoko shule na vituo vya afya.

Akihitimisha mwenyekiti wa mtaa wa Bugogwa ndugu Alphonce Bundege ameiomba timu hiyo kufikisha salamu za shukrani na pongezi kutoka kwa wananchi wa mtaa wake kwenda kwa Serikali chini ya Mheshimiwa Rais Dkt John Magufuli kwa kutoa fedha za ujenzi huo Kabla ya kutembelea kituo  cha afya Karume Timu hiyo ililitembelea jengo la dharura la hospitali ya wilaya ya Ilemela lililopo kata ya Buswelu

‘Ilemela ni yetu, tushirikiane kuijenga’




Announcements

  • TANGAZO LA MAOMBI YA MIKOPO YA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WENYE ULEMAVU April 28, 2025
  • TANGAZO MALIPO YA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI April 27, 2025
  • TANGAZO LA MWALIKO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WASAIDIZI KUELEKEA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI April 27, 2025
  • TANGAZO LA UWEKEZAJI KWA MFUMO WA UBIA (PPP) December 04, 2024
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WANANCHI 780 WAFIKIWA NA KLINIKI YA HUDUMA ZA MAENDELEO YA JAMII

    May 13, 2025
  • RAI YATOLEWA KWA WAZAZI WENYE WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

    May 05, 2025
  • MKURUGENZI UMMY ASISITIZA HUDUMA BORA ZA AFYA

    April 30, 2025
  • WANANCHI ILEMELA WAHIMIZWA KUHAKIKI TAARIFA ZAO KATIKA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA

    April 30, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.