Makisio ya Mapato yanayotokana na vyanzo vya ndani yameongezeka kutokaTsh. 10,172,706,000.00 kwa Mwaka wa fedha 2021/2022 hadi Tshs 13,524,000,000.00kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 sawa na ongezeko la asilimia 32.9.
Tarehe 02/12/2020 Waheshimiwa Madiwani wa Manispaa ya Ilemela waliapishwa na pia kufanya uchaguzi wa Mstahiki Meya na Naibu Meya ambapo Mstahiki Meya aliyechaguliwa ni Mhe. Renatus Mulunga na Naibu Meya ni Mhe. Manusura Lusigaliye
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.