• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL
ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government ILEMELA MUNICIPAL COUNCIL

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara na Vitengo
      • Idara
        • RASILIMALI WATU NA UTAWALA
        • MIPANGO NA UFUATILIAJI
        • ELIMU YA AWALI NA MSINGI
        • ELIMU SEKONDARI
        • KILIMO,MIFUGO NA UVUVI
        • VIWANDA, BIASHARA NA UWEKEZAJI
        • MAENDELEO YA JAMII
        • MIUNDOMBINU NA UENDELEZAJI MIJI NA VIJIJI
        • AFYA USTAWI WA JAMII NA HUDUMA ZA LISHE
      • Vitengo
        • USIMAMIZI TAKA NA USAFI WA MAZINGIRA
        • MALIASILI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA
        • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
        • Fedha na Uhasibu
        • SHERIA
        • UKAGUZI WA NDANI
        • MANUNUZI
        • TEHAMA
        • MAWASILIANO SERIKALINI
    • Kata
      • BUGOGWA
      • BUSWELU
        • BUZURUGA
      • BUZURUGA
      • IBUNGILO
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Leseni
    • Usafi wa Mji
  • Baraza La Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • KAMATI YA FEDHA
      • KAMATI YA MIPANGOMIJI, UJENZI NA MAZINGIRA
      • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU
      • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI
      • KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
      • BODI YA VILEO
      • MFUKO WA KUCHOCHEA MAENDELEO YA JIMBO (CDCF)
      • BODI YA AJIRA
      • ALAT
      • LVRLAC
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyopendekezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Video

WANAFUNZI WATAKIWA KUDUMISHA NIDHAMU

Posted on: July 30th, 2025

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ndugu Elikana Balandya amewataka wanafunzi kudumisha nidhamu kwani itawafanya kufika mbali.

Ndugu Balandya ameyasema hayo katika shule ya sekondari ya Buswelu  wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Ilemela siku ya tarehe 29 Julai 2025

 

"Niwasihi kuwa na nidhamu katika masomo yenu lakini nidhamu kwa walimu na watu wote wanaowazunguka, kwani yoyote mwenye nidhamu siku zote husonga mbele"alisema Ndugu Balandya

Aidha alitumia nafasi hiyo kutoa pongezi kwa wanafunzi wa kidato cha sita waliomaliza mapema mwaka 2025 kwa ufaulu mzuri sambamba na kuwapongeza walimu kwa jitihada zao na kuhakikisha wanafunzi wote wanafaulu na huku akiwahimiza wanafunzi wote kusoma kwa bidii hususan wa kidato cha nne ambao wanatarajia kufanya mitihani yao mwezi Novemba.

Miradi mingine ambayo aliikagua ni pamoja na kikundi cha vijana cha crossover kilichopatiwa mkopo wa shilingi milioni 50,ujenzi wa shule mpya ya sekondari Ilemela, ujenzi wa ofisi ya kata ya nyasaka, zahanati ya Nyakato na mradi wa barabara ya Buswelu-Nyamadoke-Nyamhongolo (Km 9) ambapo amehimiza ukamilishaji wa miradi hiyo ili ilete manufaa kwa wananchi.



Announcements

  • ORODHA MAJINA YA WATENDAJI WA VITUO WALIOTEULIWA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI MWAKA 2025 JIMBO LA ILEMELA October 20, 2025
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA VYUMBA VYA BIASHARA October 16, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -JIMBO LA ILEMELA October 14, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2025 July 08, 2025
  • Tazama zaidi

Habari mpya

  • WASIMAMIZI NA WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO 2879 WAAPISHWA,WAMEASWA KUZINGATIA SHERIA KANUNI NA MIONGOZO

    October 26, 2025
  • ILEMELA KUBORESHA LISHE MASHULENI, DC MKALIPA AKABIDHI MBEGU NA MBOLEA

    October 25, 2025
  • DC MKALIPA AMEWATAKA WATUMISHI IDARA YA AFYA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

    October 24, 2025
  • KAMBI YA MADAKTARI BINGWA WA RAIS SAMIA YAANZA KUTOA HUDUMA ILEMELA

    October 20, 2025
  • Tazama zaidi

Video

MAKALA MAALUM MIAKA 3 YA RAIS SAMIA UTEKELEZAJI WA MIRADI ILEMELA
More Videos

Quick Links

  • Mfumo wa ofisi mtandao
  • Mfumo wa Kieletronikio wa watumishi
  • Mfumo wa TAUSI
  • Vibali vya kutoka nje ya nchi
  • Salary slip

Related Links

  • Tovuti ya Serikali mtandao
  • Tovuti ya Ikulu
  • Tovuti ya utumishi
  • Tovuti ya Tamisemi
  • Tovuti ya Idara ya Habari maelezo
  • Tovuti ya Mkoa wa Mwanza

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Contact Us

    Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela

    Postal Address: 735 MWANZA

    Telephone: + 255 736 200910

    Mobile:

    Email: md@ilemelamc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.