Uzinduzi wa Baraza la Wazee Kata ya Mecco katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza ulifanyika Aprili 12, 2018 ukienda sambamba na utoaji wa vitambulisho vya msamaha wa matibabu kwa wazee wa Kata hiyo.
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI ilitoa shilingi milioni 500 na zimetumika kituoni hapo kujenga maabara ya kisasa,chumba cha upasuaji, wodi ya akina mama, chumba cha maiti, nyumba ya mtumishi, choo pamoja na kukarabati majengo ya zamani.
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.