Ndugu Said Kitinga ambae ni Katibu Tawala Wilaya ya Ilemela akimwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo katika Mkutano wa Baraza la Madiwani Robo ya kwanza mwaka wa fedha 2022/2023 kipindi cha Julai- Septemba ambapo amehimiza kuwa suala la Ulinzi na Usalama ni jukumu la kila mmoja Baraza la robo ya kwanza lilifanyika tarehe 11/11/2022
Baraza La Madiwani Manispaa ya Ilemela Robo ya kwanza 2022/2023
Baraza la Madiwani Robo ya Kwanza kipindi cha Julai- Septemba 2022/2023 lililofanyika Tarehe 11 Novemba 2022
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.