Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo ametangaza ajira mpya za walimu 3,033 ambapo 266 ni walimu wa Sekondari na 2,767 ni wa shule za Msingi.Walimu hao wanatakiwa kuripoti kazini kuanzia tarehe 27 Disemba 2017 hadi 07, Januari 2018.
Chanzo cha taarifa hii ni Tovuti ya OR-Tamisemi
Kwa hisani ya Milard ayo TV
Copyright ©2017 Ilemela Municipal Council . All rights reserved.